P Nchilima P Nchilima - Sitamani

Hallelujah moyo wangu na imani yangu natamani mbinguni
Ata nipitapo kwenye magumu natamani mbinguni kwa baba hallelujah

Sitamani miji vya huku sitamani heee
Natamani mji wa mbinguni
Sitamani miji vya huku sitamani heee
Natamani mji wa mbinguni

Héeeeeeeé
Nimesikiya kwamba mbinguni kuna uzima heee wa milele kila siku
Mi napenda nikafanye makao hee mbinguni ya milele
Ata nipitapo kwenye majiribu nitajitaidi mwisho wake nifike mbinguni
Mi sitamani miji vya huku mi sipendi kwasababu
Kila siku matatizo, wengeni wanaliya wengeni
Wanalalama njaa wengeni hawana kazi mimi sitamani kuishi kwenye dunia

Sitamani miji vya huku sitamani heee
Natamani mji wa mbinguni
Sitamani miji vya huku sitamani heee
Natamani mji wa mbinguni

Ikanave mwakudoba nindidoba kila liduva kutangadika heee
Mala ding'ondo mala malwele, mala maganisha
Kushima vanu avanantumbwange nnungu heee
Nindidoba kudyanga kuka napata lipuwilo
Likamalilika kila wakati kupuwanga
Hallelujah wimba pamo na vanjelo kuwa lipuwilo
Njini wambi lipuwilo yelusalemu hoo lipuwilo