Nadia Mukami

Wangu

Hey, (hmm), sanaipei
Hey, nadia
(Alexis on the beat)

wewe nani?
unanipigia simu kama nani?
eti niachane na mume wako nani?
unajua nadia kweli mi ni nani?

weh ni nani?
unampigia simu kama nani? eeh
ata utoe vya ndani, atarudi hapa kwangu tu nyumbani, eeh

anapenda vidogodogo, mwenzako ana vimumunya (munya)
mwanamke unapenda zogo
tafuta jambo hilo la kufanya (fanya)

Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
kubali yaishe, ni wangu

Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
mwishowe yataisha, ni wangu

hivyo vimeseji na kuficha simu havinishtui (oo-wee)
atachoka nawewe (eh), pengine aende (eh), yule hakagui (oo-wee)

kelele ya chura haizuii ng'ombe kunywa maji
kwangu habanduki
kwako hatoboki, nakwama na yeye (kwama na yeye)

anapenda wife-material, mwenzako anakudanganya (danganya)
mwanamke una kasoro (weh)
tafuta jambo hilo la kufanya (kufanya)

Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
mwishowe yataisha, ni wangu

Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
kubali yaishe, ni wangu

mi sitakoma, koma, koma, koma
mi sitakoma, koma, koma, mama, eeh

n'takukomboa, komboa, komboa, komboa
n'takukomboa, komboa, komboa, msichana, weh-ayy

Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
mwishowe yataisha, ni wangu

Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
kubali yaishe, ni wangu

Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
mwishowe yataisha, ni wangu
Oh, ni wangu
huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
kubali yaishe, ni wangu